Monday, 10 December 2018

WAFANYAKAZI WA UBA TANZANIA WAJITOLEA KUFUNDISHA VIKUNDI VYA UJASIRIAMALI STADI MBALIMBALI IKIWEMO KUPIKA MAANDAZI YENYE VIONJO VYA KIPEKEE,PROGRAM HII IKO CHINI YA UBA FOUNDATION


 Wafanyakazi wa UBA Tanzania wakiwaonyesha kikundi Cha wajasiriamali cha Mshikamano Yombo Vituka Dar Es Salaam jinsi ya kutengeneza maandazi yenye vionjo zaidi kama moja ya njia ya kujitolea kwa jamii kuwafundisha Stadi za kazi za kuwaongezea kipato kujikwamua kiuchumi
 Wafanyakazi wa UBA Tanzania wakikanda Unga kuwaonyesha kikundi Cha wajasiriamali cha mshikamano Yombo Vituka Dar es Salaam jinsi ya kutengeneza maandazi yenye vionjo zaidi kama moja ya njia ya kujitolea kwa jamii kuwafundisha stadi za kazi za kuwaongezea kipato kujikwamua kiuchumi
 Wafanyakazi wa UBA Tanzania wakiwaonyesha kikundi Cha wajasiriamali cha mshikamano yombo vituka daresalaam jinsi ya kutengeneza maandazi yenye vionjo zaidi kama moja ya njia ya kujitolea kwa jamii kuwafundisha stadi za kazi za kuwaongezea kipato kujikwamua kiuchumi
Wafanyakazi wa UBA Tanzania wakichoma Maandazi ili kuwaonyesha kikundi Cha wajasiriamali cha mshikamano Yombo Vituka Dar Es Salaam jinsi ya kutengeneza maandazi yenye vionjo zaidi kama moja ya njia ya kujitolea kwa jamii kuwafundisha stadi za kazi za kuwaongezea kipato kujikwamua kiuchumi

No comments:

Post a Comment