Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Sima akisalimiana na Prof. Petteri Taalas Katibu Mkuu wa World Meteorological Organization. Naibu Waziri Sima anaongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 24 wa Nchi wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi unaoendelea Katowice Poland. Kushoto ni Bw. Freddy Manyika Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchi Dkt. Agnes Kijazi akizungumza na Prof. Petteri Taalas Katibu Mkuu wa World Meteorological Organization, katika moja ya mikutano inayoendelea Nchini Poland. Kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Sima.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa
Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Sima (wa pili kutoka kushoto)
akiwa katika picha ya pamoja na Prof. Petteri Taalas Katibu Mkuu wa World Meteorological Organization,
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchi Dkt. Agnes Kijazi na
Bw. Freddy Manyika Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira mara
baada ya kukamilika kwa kikao baina yao, Katowice Poland.
Worlrd metereological organization general secreat
Kikao kujadili masuala ya hali ya hewa . katikati un- observer




No comments:
Post a Comment