Rais
wa zamani wa Marekani George H.W. Bush (Baba yake na Rais Bush
aliyemuachia Obama madaraka) amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 94
huko mjini Houston, msemaji wake Jim McGrath amethibitisha kifo chake.
Rais
huyo wa zamani wa Marekani aliongoza kwa awamu moja tu akiingia
madarakani mwaka 1989 na kuondoka 1993 hivyo kubaki kama Rais pekee
aliyeiongoza Marekani kwa awamu moja.

No comments:
Post a Comment